top of page

Orporokwai

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

Maasai name

Orporokwai

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore sii ele likae hani naa olnjani ojii orporokwai, ore orporokwai neeta matumizi kumok penyo aalang’ orbili kwasababu  amu ore ele itaunye iltung’anak in’udisin neeta ing’udisin enyena uimara sawasaw oo esiteti kake ore sii engae olnjani sii onya indare amu eeta im’benek, kake ore sii engae neturuni indana  arashu edung’ imbinasi naayeriek imotorik  neeta imotorik enyena ladha sidai zaidi aalang’ irkuliek keek  kuliek nemelok sii imotorik enyena medua.


Swahili translation: hii mti inaitwa dawa ya orporokwai,orporokwai ina matumizi mengi zaidi ya orbili. Kwa sababu watu wanatoa fimbo iko na fimbo na imara inafanana na esiteti lakini miti nyingine ambaye kondoo ula maana ina majani,lakini nyingine unatoa mizizi  ama inakatwa majani na kutengeneza supu na iko na supu ladha nzuri zaidi ya dawa zingine ni tamu  na supu yake ni tamu sio kali.


English translation: This tree is a medicine called orporokwai, orporokwai has more uses than orbili. Because it’s branches are thick and strong, it looks like esiteti, but it does not grow leaves that sheep eat. People will eat the roots or cut the leaves to make a soup that tastes better than other medicines, it is sweet and and not harsh on the mouth.

Orporokwai
00:00 / 00:35
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page