top of page

Orperelongo

Plant details

Acacia brevispica

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Orperelongo

respiratory, sore throat

Scientific (Latin) name

Acacia brevispica

Part used

Common name

Prickly Thorn

Recording 1: Maasai translation: Ore ele naa orper elong’o olnjani ojii orper elong’o ele laa ingaboboki eeoki metaa ore taata too irmaasae neokie imotorik ingabobok amu itau onohi anyarat onohi orgoso ,tee eudet metaa nitibir taata kulo ng’ang’ar metaa ore irng’ang’ar naake anaana arng’ang’ari meteeje tengaraki ele orper elong’o, injoo matau enginyi nekipyo aayeraki olomoni lang’ endoki anji orper elong’o nitibir irgoso, ore naa taata ele inye orper elong’o inye alnjani ele metaa olnjani taata ele laake kipyo aayer , aayeraki olomoni nemedwaa taa 


Swahili translation: hii inaitwa orper elong'o dawa inaitwa orper elong’o ni maganda ndio wanakunywa sasa wamaasai wanakunywa nayo supu maganda maana inatoa ugonjwa ya koo,kwa koo inatoa vitu inafura kwa koo inatolewa na orper elong’o wacha nitoa ndogo ya kwenda kumpigia mgeni wetu kitu Inaitwa orper elong’o ya kuponesha koo,hii sasa ndio orper elong’o hii sasa ndio dawa na tunaenda kupika,kupikia mgeni na sio kali.


English translation: This is called orperelong’o, and it is a medicine. Maasai people eat the pods, they drink soup with the pods because it helps heal the soar throat. It makes the throat heal faster. Let me give a small portion to the guest… it is called orperelong’o. This is the medicine, and we will cook it for the guest. It is not strong. 


Recording 2: Maasai translation: ore likai hani neetai orperolong’o, ore ilo ojo orperlong’o naake epwei ake sininye aayau amu metaana ake sininye tene, amu iyelo aajo yolo tenakata ake sininye enewei nekitii kimboloso tattoo ordonyo amu kitii naa tukul embolos ordonyo kake elwaka esekekwa tidie epwei aatumie ila hani oji orperolongo naasidai ake sininye toomotorik, ore ilo maakeoki duo enaa engare kake aituhulakini inye motorik pee eyerunye duo ayerunye ina supu ooloik akeyie nitobiru naleng’ imotorik niruaye, nitoropil nitamelok sii.


Swahili translation: Na mti mwingine inaitwa orperolong’o,hii inaitwa orperolong’o inaendwa kuletwa maana aiko karibu na hapa,maana unajua wakati huu tuko katikati ya mlima maana tuko katikati kabisa ya mlima iko mbali pahali ya kupata hio dawa inaitwa orperolong’o inasaidia pia supu,hio haikuyiwi kama maji lakini inachanganywa na supu na inapikwa na supu ya mfupa ndio itengeneze supu vizuri na ifanye ikawa mzito,inapatia ladha tamu kabisa.


English translation: This tree is called orperelong’o. It does not grow around here, so it must be brought from far away. As you can see we are on the mountain, so it does not grow here, this medicine called orperelong’o. It is not drunk as tea, instead it is mixed in a soup made with bone broth so that it is thick and has a sweet taste.

Orperelongo
00:00 / 01:26
Orperelongo 2
00:00 / 00:34
00:00 / 01:04
bottom of page