top of page

Orngoswa

Plant details

Balanites aegyptica

Plant use

Disease/ Afflicted area

body cleansing

Maasai name

Orngoswa

Scientific (Latin) name

Balanites aegyptica

Part used

Common name

Desert date

Maasai translation: Ore ole naake iwoshu engaboboki enye, negurumareki nitau in’daiki torok, negurum ake sininje   indomonok ata ingera  naa alnjani sidai lemeeta madhara tosesen lee teniok tinasaa nigurumaree duo naa ninjiu meeta emughuli nekingwiki enaa oremit, enaa ormukutan metaa aiwoshu naa ingabobok enyena nindumia aangwatu nia duo aalo aagurumare, neeta taatake irmatunda ooinose enaa taata ele ore taata ele naa armatundai org’oswa toi  naake oloo metaa endoki najii asaragi. 


Swahili translation: huu unatoa maganda yake,utumika mtu anapotaka kutapika kwa wamama na watoto ni dawa nzuri bila madhara kwa mwili na ukikunywa kwa hiyo saa unatapika na kupona haina shida yeyote na madhara,ormukutan unatoa maganda unatoa na kwenda kutapika nayo,iko na matunda ya kukula kama hii hii sasa hii ni matunda ya org'oswa ndio inaitwa asaragi.


English translation: This tree grows pods. It is used by mothers and children if they want to vomit to clear their system of toxins. It is a good medicine with no side effects and after you recover from the vomiting, you will feel very good. Ormukutan grows pods, you take the seeds and eat them and go and vomit. The fruits inside these pods are called asaragi. 


Orngoswa
00:00 / 01:06
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page