top of page

Ormotoo

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Ormotoo

constipation, stomach

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore taata ele naa ormotoo ele ake edung’uni ele nitauni ingabobok nepoi aamuk tee engare, teninepu oltung’ani oyaa engohoke eerita engohoke orsage naa inye eeok nedung’o inohoke idolita kuna dung’ot pookin ele motoo epoi aadung’ paa inye eponunui aook, inye emukuni kake meyeruni aake emukuni ake inye neoki naa inye oretoki oltung’ani tee engohoke 


Swahili translation: hii ni olmotoo hii inakatwa na kutoa maganda na kuacha kwa maji,ukipata mtu anaumwa na tumbo akiendesha na kutoa damu ni huyu ndio anakunywa na a anapona ukiona ukiona pahali umekata kwa hii miti ikiendwa kukatwa ndio inakuja kukunywa,unaweka kwa maji hauwezi pika unaweka tu maji na inasaidia mtu kwa tumbo.


English translation: This is ormotoo. To prepare it is first cut, then the bark is removed and put in water to soak. When someone is experiencing stomach issues and constipation, this is the medicine they drink. It helps the person to recover. Sometimes you find a place where this tree has been cut, that is where someone has used it before. You soak the bark in water, there is no need to cook it. It is good for stomach problems. 

Ormotoo
00:00 / 00:33
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page