top of page

Ormesera

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

drink preparation

Maasai name

Ormesera

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore ormisira eeta irmatunda ooji irmesirani akee kinya amu iyolo irmisirani naake eeta vitamin, nekindumia ake lolomisirani aitobirie  juice sidai aituhul oo kule oo ingishu  wee engare nekitum juice sidai, naa ore ele misira nekindumia irkuliek irmasai aaikumbatia naa taata nakimake a wish niyolo ajo ore baadae unafanikiwa amu ore ele misira naake inaishi miaka mingi kwahiyo inye kindumia ele misira tenena baak.


Swahili translation: ormisira ina matunda ambayo inaitwa irmesirani tunakula maana iko na vitamin,tunatumia lolomisirani kutengeneza maji ya matunda nzuri sana na maziwa ya ngombe na maji tunapata juisi nzuri,na hii misira inahudumia wamaasai wengine wanakumbatia na Leo tunaweka matarajio ambayo baadae unafanikiwa maana hii misira inaishi miaka mingi kwa hivyo inahudumia kwa hayo.


English translation: Ormesera has a fruit called irmesirani. We eat it because it has vitamins to keep the body healthy. We use ormesera to make a very good drink with fruit juice, cows milk, and water. Maasai people love this drink because it is very good. This plant lives for a long time, so you don’t need to worry that it will die. 

Ormesera
00:00 / 00:53
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page