top of page

Orkolili

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Orkolili

blood, abrasions

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: Ore ele naa alnjani ojo irmaasae orkolili, ore kulo keek nera siinje katitin uni amu eetae orkolili, neetae orsumatiki, neetae oreteti naa jamii nabo kuna pookin, Ficus ena amu kitadua nai Ficus sycomorus  nee engae Ficus ena kake kiata engae ficus najii Ficus thonningii katika majina ya kisayansi kake eji naa orkolili ele , naa ore ele hani tenidung’ ore im’benek enyena ake enyor taatoi kake tenidung’ neeta kulee orpukunye lenje, neeta irmaasae imani naleng’ oo kulo keek keye ooitau kulee lijo orsumatiki, lijo oreteti kake oreteti duo sapuk eeasihoreki, ore kulo epiki taatoi  ingidondani naai  too oltung’ani taa nai , ore ilnjekuti tenetum enyamali tooyang’at niidim oltung’ani aiyelie inakidonda taata  amu kirobi kule enyena menyanyikie kule enyena inorpopong’  amu ore kule orpopong’i naake edotiho kake medotiho naa kule enyena nisaidia naa amu ibung’a anaa engiti aing’ure nisaidia aitegem orsage,neeku metaa eji nenye orkolili naa too injumat ooldonyo ake ebulu aruhu tiatua irkejek kake meton taatua orkeju lituiim engare.


Swahili translation: hii ni dawa inaitwa orkolili na wamaasai,hii miti iko mara tatu iko orkolii,iko orsumatiki,na kuna oreteti na wote ni jamii moja hii ni mkuu juu tuliona mkuu wa matunda hii ni mkuu juu tuna mkuu unaitwa mkuu wa miba katika majina ya kisayansi lakini inaitwa orkolili,hii miti ukikata matawi inapenda lakini ukikata inatoa maziwa,wamaasai wanaimani sana na hizi dawa zile zinatoa maziwa kama orsumatiki,kama oreteti lakini ile oreteti kubwa ndio,hizi zinawekwa vidonda kwa watu,wachungaji wakipata shida nyumbani wanaweza kupaka vidonda maana ni maziwa yake ni baridi maziwa yake haifanani na ya mkenye,maana maziwa ya mkenye haishikani lakini inashikana maziwa yake na inatoa kitu kama ya kutafuna na inasaidia kufanya damu ishikane,ndio inaitwa orkolili na ni juu ya mlima ndio inamea ama kwa mto lakini haiwezi mea mto ambayo mto haijapita.


English translation: This is a medicine called orkolili by the Maasai. There are three types of this tree: orkolili, orsumatiki, and oreteti, and they all belong to the same family. This is a very large tree, that bears fruit, so it is known as the ‘chief of fruits’. It also has large thorns so it is called the ‘chief of thorns’, but normally we just call it orkolili. Cutting this tree’s branches produces milk. The Maasai people believe the best milk coems from orsumatiki and oreteti, the milk from these trees is applied to people’s sores, like on the feet of Maasai herders. The milk from this tree is cold, and not like that of a female cow. Cow milk does not congeal, but the milk from this tree does and produces a gum which we can chew. If you drink this milk it can also help thicken the blood. This is what we call ‘orkolili’ and it grows on mountains or near rivers which have good flow.

Orkolili
00:00 / 01:27
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page