top of page

Orkiloriti/Engiloriti

Plant details

Acacia nilotica

Plant use

Disease/ Afflicted area

water, body care, drink preparation

Maasai name

Orkiloriti/Engiloriti

stomach

Scientific (Latin) name

Acacia nilotica

Part used

root, bark

Common name

Egyptian thorn

Recording 1:

Maasai translation: Ore orkiloriti naa alnjani opuku ai taata kenaa osiyamalil kake oldonyo naatoi inye etii neeku ore ilo kiloriti neesihoreki inye indana enyena, neesihoreki ingabobok enyena neeta ilanderera, ore taa ele hani ojii orkiloriti naa alnjani ogol oleng’ lenging’asia iidim naa ore ilo imotorik eyerunyeki niidim ake atererunyie engare loloanderera lenyena duo nena mbegu enyena, sagararam lenyena neyerunyeki engare naa inye ewok irmuran etii orpul inasitae ingiri mitoki dikata lelo muran aako aikata engare wala shai wala soda kake inaare ake elolo keek owokito ore ilo hani naa alnjani oleng’ ogol amu ore ilo hani akelo alo aimarisha iloik inye ilo hani ojii orkilorit metaa ore naa taata nena tana enyena itobirr iloik oleng’  niroshie sii aapik ilndung’anak erandili meeta eeku ore taa ormurani otobiko naleng’ eokito eeku teneroro engop aake ening’oori ejo nkuum, nkuum, enaa olohi meut amuu kiroshiu naa amu alnjani obo ogol oleng’ akee njoo keduo naai bahati nzuri mee iltung’anak apa aarisho irmaasae too ngumin amu ore taa nai ainepu ilohi bondiani miriharoi engumi ormurani otooko orkiloriti amu iroshi ore randili iloik lenyena ake powerful naleng’.


Swahili translation: Orkiloriti ni dawa inatoka kama osiyamalil lakini kwa mlima ndio inapatikana sasa hiyo olkiloriti mzizi yake inatumika ,maganda pia ina pia mbegu,hii mti unaitwa olkiloriti ni ngumu sana ya maajabu inatumika kutengeneza supu kwa kupikia maji hizo matunda zake amambegu zake upande yake inapikiwa maji na ndio warani wanakunywa wakiwa msituni kula nyama hawa warani hawakunywi maji nyingine ama chai ama soda lakini ni hiyo maji ya hio mti hiyo mti mti ni ngumu sana inaenda kuimarisha mfupa hiyo dawa inaitwa olkiloriti sasa hio mzizi inasaidia mfupa sana na inapatia nguvu na kuweka uzito sasa ule warani wamekaa sana wakikunywa inakuwa akikanyanga chini inasikika nkuum nkuum kama twiga maana ako mzito maana ni dawa moja nzuri sasa wacha tu bahati nzuri sio wamaasai walikuwa wanapigana ngumi maana ukipata wale warani wasito hawawezani ngumi ya warani amakunywa olkiloriti maana ni nzito ana kilo maana mfupa yake ni nzito kabisa.


English translation: Orkiloriti is a medicine that is similar to Osiyamali but is available only in the mountains. The root of this plant is used, and the pods have seeds. When the warriors are in the forest and can only eat meat, they don’t drink any water or tea or soda. Instead, they drink the water of that tree, which is very hard to extract. But when extracted, it can strengthen the bone. The medicine of olkilorit helps the bone grow and makes the warriors very strong and heavy. After the warriors drink for a long time, they are so large and strong they sound like giraffes stomping on the ground. It is lucky that these warriors drink this medicine, because they can police other Maasai who may become drunk and want to engage in fistfights. But they cannot compete with the warrior because he is powerful and his bones are strong thanks to this plant. 


Recording 2: Maasai translation: ashe oleng’ kaaji lomayan leaseki, kiata archani oji engiloriti, ore engiloriti naa sidan amu ewoki ingabobok enye aowokie shai, neyeri kulo matunda lenyena enakata enyori aayerunye engare tukul niok akeduo amu archani aisafisha engohoke pookin tosesen, kake ore sii irmatunda lenyena nenya indare naleng … irkilorit… nenye indare naleng’ .. metaa archani oleng’.


Swahili translation: Asante sana'naitwa lomayan leaseki ,tuko na miti inaitwa engiloriti,Engiloriti ni nzuri sababu maganda yake inakunyiwa chai,matunda yake inapikwa wakati ikiwa majani mabichi kuchemsha na maji kabisa na inaosha tumbo na mwili zingine zote,matunda pia inakuliwa na kondoo kabisa..ni dawa kabisa'.


English translation: My name is Lomayan Leaseki. Here we have trees we call Engiloriti. Engiloriti is good because its seed pods are used for tea. When the leaves are clean, the fruits can also be cooked by boiling them with water. When they are boiled it cleans the stomach and the rest of the body from toxins. The fruit is also eaten by sheep. It’s a very good medicine. 


Orkiloriti/Engiloriti
00:00 / 01:32
Engiloriti 2
00:00 / 00:36
00:00 / 01:04
bottom of page