top of page

Oremit

Plant details

Salvadora persica

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment, body cleansing, toothbrush

Maasai name

Oremit

stomach, blood, muscles

Scientific (Latin) name

Salvadora persica

Part used

Common name

Miswak

Recording 1: Maasai translation: Ore ele naa oremit naa ninye ele taata latuturuo kuna tana ,indana oremit ore ele naa alnjani ook irmaasae neeer , itau imoyaritin naatii aatwa engohok nitau irkuru nitobir indung’anak orsage neeku duo bioto naa  olndung’ani amu meeta kemiko naing’waa ele remit tee ongohoke kwahiyo teniok iishu endoki piiu naatii engohoke nindoki aabiotu niidim in’daikin nindoki naa aaku olndung’ani ooserian lemeeta imoyaritin ee aina yoyote kwahiyo aake itibu ele hani kila emoiyan neji engarna oremit.


Swahili translation: hii ni oremit na ndio nimengoa mzizi hizi ,mzizi ya oremit ni dawa wamaasai wanakunywa inamaliza ugonjwa mingi,inatoa magojwa yote iko kwa tumbo kuguruma kwa tumbo inaosha damu ya watu ni nzuri kwa mtu maana haina madhara yeyote ya kutoka remit kwa tumbo kwa hivyo ukikunywa inamaliza shida yote kwa tumbo na unakuwa mtu sawa mwenye ana shida ya magonjwa,kwa hivyo hii dawa inatibu haina yote ya magonjwa inaitwa oremit.


English translation: This is Oremit, and these are its roots. The oremit root is a medicine that the Maasai people drink. It cures many diseases, it takes away many stomach problems, and it cleans people’s blood. It is good for a person because it does not have any side effects in the stomach. So if you drink it, it ends all stomach problems and you become the same person who lacks the problem of diseases. So this drug that treats all diseases is called Oremit. 


Recording 2: Maasai translation: aaji taake Saningo aigil, napukunye future warriors Tanzania, eton ake aata eloomoni lai alikito irkiek larm’baa armaasai alikito ake eniko enekindumia irkiek laarmaasai, naata olikai hani oji ake oremit, ore oremit naa archani sidai taarmaasai amu sidai kindumia toombukunot kumok, kindumia aaiekie ilala enaa engike naa sida amu iisuj engutuk pii eniikie ilala, ore engai matumizi enye nekindumia akeduo enaa irtung’anak aata enaa taata teniata olodua nindau indana enyena niwoj ninduhulaki enaa shai au enare, ore ake pee induhulaki ninduhul metuhulata, ore ake pee ehula niok, ore pee iwok nekiar engohoke au nekigurum, ore ake tenekigurum au tenekiar asi neleku taata osesen etosidana etupukuo archafu pookin, etupukuo olodua pookin liyata au teniguruma naikiisuj ake ilo odwa nileku ortung’ani ira sidai.. ashee.


Swahili translation: Ninaitwa tena saningo I ninatoka Future Warriors Tanzania,bado nina huyu mgeni kumweleza juu ya miti dawa wamaasai vile wanatumia miti dawa ya wamaasai,nina dawa nyingine inaitwa oremit,oremit ni mti nzuri kwa wamaasai kwa sababu tunatumia kwa haina tofauti,tunatumia kwa kusafisha meno kama mswaki na ni nzuri maana inaosha mdomo ukisafisha meno,matumizi nyingine tunatumia tu kama watu Wenye wako na nyongo unatoa mzizi yake unakunywa unachangaya kama chai ama maji,na ukichangaya unachangaya ichanganyike,ikichanganyika unakunywa,na ukikunywa inasaidia tumbo au kusokota,na ikimaliza mgurumo au na ikimaliza na inabakisha kwa mwili kama imekuwa sawa kama uchafu umetoka yote,nyongo pia itakuwa imemaliza au mgurumo inakufuata tu na hiyo nyongo na kubaki mtu ukiwa sawa…..Asante


English translation: My name is Saningo. I am telling this guest about the Maasai medicinal trees. Here I have a medicine called oremit. Oremit is a good tree for the Maasai with many uses. We can use it as a toothbrush and it will clean the mouth. For people who have kidney stones, you take out the root and drink it, or mix it like tea in water. Then if you mix it or drink it… it will help the gall. When it finishes working no more dirt (stones) will come out. So it is very good… thank you.


Recording 3: Maasai translation: akaaji nanu engarna Emmanuel kuyan, napukunye wilaya e longiito natii engijiji e kiserian ewoji neji oldonyo laandare, ore ele hani oji oremit, akalikito ele payian au ela mgeni aajoki ore ele hani oji oremit naa archani aramatiho oleng’ amu ore inye kuna haando enyena niidim aika ilala, ore indana enyena naa archani lengohoke opiki imotorik neramatisho oleng’ ishiunye irubat, neeriho engohoke teniok, tenilo tenakata tatanji pee indau indana enyena pee iyerie armajani, naiyeri ake armajani niok kiidim aataara aitau archafu otii aatwa engohoke.. Neeku archani sidai aramatiho 


Swahili translation: Mimi kwa majina naitwa Emmanuel kuyan,natoka wilaya ya loongiito katika kijiji wa kiserian mahali inaitwa mlima wa kondoo,na hii dawa inaitwa oremit,Ninamjulisha huyu mzee au huyu mgeni kumwambia huu dawa unaitwa oremit ni dawa inatibu sana maana hizi upande zake inaweza kuwa mswaki,na mzizi yake ni dawa ya tumbo ya kuweka supu na inatibu misuli ya mwili,na inasafisha tumbo ukikunywa,ukienda sasa kutoa mzizi yake unatumia kama majani,unapika kama  majani unakunywa inamaliza na kutoa uchafu enye iko kwa tumbo…Ni dawa nzuri ambayo inatibu.


English translation: My name is Emmanuel Kuyan, I come from the district of Loongiito in the village of Kiserian, in a place called the mountain of sheep. This medicine is called Oremit. Its root is a medicine for the stomach, and if mixed with soup it helps treat the sore muscles of the body and cleans the stomach when it is consumed. You cook the root like you cook tea leaves, then drink it and it will remove grime in the stomach. It is a good medicine.


Oremit
00:00 / 00:44
Oremit 2
00:00 / 01:19
Oremit 3
00:00 / 00:58
bottom of page