Maasai translation: Ore orbibiai naa ore olndung’ani aata naporsesen matejoo naai enakuna daikin ng’iroin irpayek,arahu irmarahagi , kulo tung’anak nai nijo epong’u naa enihori naai orbibiai aidong’oki, aapikaki engobo nidong’i nepiki engare nesilakin olndung’ani letaa akee iipil engohoke nishiunye, ejung’ orbibiai wee ndoki naji osokonoi aa alnjani lengohoke.
Swahili translation:Â Na orbibiai na mtu ako na ugonjwa inaingia kwa mwili tuseme kwa hizi chakula kama mahindi ama maharagwe,hawa watu wanashiba na wakipatiwa orbibiai kama imebonwa,unawekewa kikombe inabondwa inawekwa maji na kuchuchungiwa mtu anasumbuliwa na tumbo inaponesha,orbibiai na osokonoi ndio dawa ya tumbo.
English translation: This is Orbibiai. It is used if a disease enters the body through foods like corn or beans that people have eaten. They are then prepared a cup of orbibiaii. Orbibiaii is roasted, ground, mixed with water, and then strained. It will then alleviate food poisoning. Orbibiaii and osokonoi are good plants for alleviating stomach issues.Â