top of page

Oloisuki

Plant details

Zanthoxylum chalybeum

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Oloisuki

respiratory, cold, sore throat

Scientific (Latin) name

Zanthoxylum chalybeum

Part used

Common name

Knob wood

Recording 1: Maasai translation: ore taata ele naa oloisuki, teniata oloirobi ninyaal nija enaa ngabobok, naa enining’ito esiwandet toorgoso ninya amu kiretoki, enining’ito engaising’i ore pee inya eletoki ohi oloisuki naa inye lekiidip, ore toongera kunyinyik naa eneyiuni engerai kinyi natoiwoki enaa natoiwoki ng’ole nidimi aatumuku peeku inye ihori amu oloisuki naa amu inepu eyeruni inji, ninepu aashu ewojuni amu ele naa oloisuki,metaa ololoirobi, olortung’ani kitok, ee ngerai ele naa oloisuki.


Swahili translation: hii ni oloisuki,ukiwa na homa una mumunya unakula kama maganda,na kama koo inakuuma unakula maana inasaidia,ukikuchafya ukikula hii kitu Inaitwa oloisuki inakuponesha,kwa watoto wadogo na ukitaka watoto wadogo wamezaliwa kama imezaliwa jana unaweka maji ndio ikuwe unapatia maana oloisuki maana unakuta ikipikwa hivi,unachongea maana hii ndio oloisuki,hii ni ya homa,mtu mzee,mtoto ni oloisuki.


English translation: This is Oloisuki. When you have a fever, you can chew the bark, and if your throat hurts from a cold or other reasons you can swallow it to help. If you sneeze, and you eat Oloisuki, it heals you. If you want children to heal from a cold extremely fast, you can soak this bark in water and give it to them and it will heal them. It’s especially good for elderly and for children, Oloisuki. 


Recording 2: Maasai translation: aaji naake lomayan leaseki, napukunye future warriors, kineputua archani oji oloisuki, ore oloisuki naa epiki shai aayere shai enaa armajani kake sidai ake taandana teniloaayer eniyata matatizo oorgoon, tenekia orgoo in’dim aateyeru niok, aahu in’dim aatanyaala indana enyana naa akinjiu orgoo moja kwa moja.. Kwahiyo sidai naleng’ tengiroget


Swahili translation: naitwa Lomayan leaseki,natoka future warriors,tumepata dawa inaitwa oloisuki,oloisuki inawekwa chai inapikwa chai kama majani ni tamu kabisa unapika na mizizi ukienda kupika ukiwa na matatizo ya kifua,ukiumwa na kifua unaweza pika na kunywa ama unatafuna mizizi ikiwa imefungana na kifua inapona moja kwa moja…kwa hivyo ni nzuri kwa kukohoa.


English translation: My name is Lomayan Leaseki, from future warriors. This is a medicine called Oloisuki. Oloisuki is prepared like a tea, just like tea leaves, and tastes very sweet. If you have chest problems you can brew the roots, or simply chew on the roots if the chest issue is bad. It heals the chest quickly, and is very good for coughs. 

Oloisuki
00:00 / 00:41
Oloisuki 2
00:00 / 00:28
00:00 / 01:04
bottom of page