top of page

Oloikurukur

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

construction, religious use, protection, animal health, disease prevention

Maasai name

Oloikurukur

pneumonia

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

-

Maasai translation: kigira aimaki olikai hani oji oloikurukur, ore ele hani oji oloikurkur naa toordonyo ake etumi, tordonyo, metumi ninje tengop, naa ore ingaititin pookin naapwo irmaasai apa iloibonok, tidiakata  eten itu etum irmaasai kisirianishu  naa elo oloiboni nelo aajoki ninje ore endoki niripiepie indare inyi au imasaa inyi enjom eyau aloikurkur, aa ore taa taata eniyiolo oloikurkur naa ake megira, kwahiyo ore enatoki naji oloikurkur neeku duo ninye nalo aarip ina masaa enye kwamba ore tengewarie nikurikurito ake ele hani fyuuu… kwahiyo miidim yaani ore irdeketa indokitin nemekidoluni amu midol siinye ordeket wala midol eng’oki neeku ore ina ng’oki pookin naa ele hani elo aihakino kake metum nena kishu ordeket, kwahiyo endoki apa ena naripie irmaasai imasaa enye nehetu toondusiati, aamuru endusiat temwatata nemuri taalarini walarini tengaraki pee metum indare orkipei, pee epal orkibiruto, pee epal engiaya oondokiting’ arashu ilowuarak kulie oojo ejing’u imwatat nemetum ing’asiat amu etipikaki naa iripet au arashu endoki naitalwaaki pee meeta onyoo nalang’ ninje, kwahiyo keji ele hani oloikurkur naa keninye eesihore irmaasai tenepuo iloibonok.


Swahili translation: tunazungumzia mti mwingine unaitwa oloikurukur,hii mti unaitwa oloikurukur unapatikana mlimani tu,mlimani,haipatikani mbugani,na wakati wote wakienda kwa waganga,kabla wamaasai hawajapoke kristo mganga anaenda na kuambia ile kitu mtaangalia nayo kondoo yenu ama mazao yenu muende mlete oloikurkur,na vile unajua oloikurkur ainyamazi,kwa hivyo hii mti unaitwa oloikurkur sasa ndio inaenda kuchunga mazao yake kwamba usiku inaguruma tu fyuu..kwa hivyo laana ambayo huwezi ona maana huwezi ona laana na uwezi ona matuzi sasa hiyo laana yote ni hii mti ndio inaenda kuingia juu yake lakini hizo ngombe hazipati laana,kwa hivyo ni kitu wamaasai walikuwa wanachunga nayo mazao yao na kufuruta na kufunga nayo zizi,unafunga nayo zizi ya kondoo wanatumia miaka na miaka ndio kondoo isipate pneumonia,waache kutoa kabla ya kujaza masiku,waache kukufa ya wanyama'ama simba zingine ambazo zinajaribu kuingia zizi hawapati nafasi ya kupita maana imewekwa ya kuchunga ama kitu imelalishwa ndio isipatikane kitu ya kuvuka huko,kwa hivyo mti huu unaitwa wakuguruma na ndio wamaasai wanatumia wakienda kwa waganga.


English translation: This tree is called Oloikurukur. This tree, Oloikurkur, is found exclusively in the mountains, not in the plains. Before Christianity, the Maasai would visit traditional healers when they had problems with their crops or livestock. The healer would advise them to bring Oloikurkur. You see, this tree Oloikurkur is not quiet. During the night it makes a rumbling sound “fyuu” which helps safeguard the crops. You are not affected by this sound curse, and neither are the livestock. But it can be used as a fence to help keep predators like lions from entering the area. This tree, when used in the livestock pens, also helps diseases like pneumonia from spreading from animal to animal, so that animals don’t die prematurely. This tree, also called ‘waguguruma’ is what Maasai people are instructed to use when they go to healers.

Oloikurukur
00:00 / 01:32
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page