Maasai translation: nekindoki siinye aata archani oji oloduai, naa tordonyo ake sininye eeuni, naasidai ake sininye ilo hani lolodwai too taarbaa enaa supeta, irmuhan taa taata sinanu pee ilo aayelou duo ootigirate aatum ingiyaitin seroi, neeuni naake ilo hani neponunui sii inye ake aituhulaki olelo kulie pookin neyeri neeku mitoki lelo muran aawok engai are, eeku lelo kiek ake ewokito.Â
Swahili translation: tuko na dawa unaitwa oloduai,inapandwa pia mlimani,hiyo mti pia ni nzuri lolodwa kwa magonjwa kama ya sanaa,warani Leo ndio mimi pia unaenda kujua ndio unaenda kujua hii dawa,hii mti unapandwa,na kuchanganywa na ile zingine na kupikwa na hao warani hawatakunywa maji nyingine,watakuwa wanakunywa hayo dawa tu.
English translation: We have an herb call a bile,it grows at hills,that trees also is good bile because it is good for sexually transmitted diseases,warriors today would show me this herb,this trees grows,and it is mixed with and cooked with warriors they would not drink any other water,they would only drink from this herb.