Maasai translation: ore naa ele naa olerai, naa ingabobok ewoki, kake ore irtung’anak eretoki naleng’ indomonok naatoishote, ore endasat natoiheshe enaa enaata ingolong’ are ore ina oolong’ ewokito esupu neohuni naa elelerai au peeku aitau neeku eyerieki eengwa enye nihori, metaa nija enye etiu ele oji elerai.
Swahili translation: hii ni Olerai, ni maganda inakunyiwa,inasaidia watu kabisa,wamama wamejifungua,mama mwenye amezaa ama mwenye ana mimba,wakati anakunya supu maganda inatolewa inawekwa kichwa na kupikwa na kupatiwa.hii ndio hii inaitwa olerai.
English translation: This is Olerai. The pods of this plant are crushed to help mothers who have given birth or are pregnant. First she makes the soup with the goat’s head, then the pods are taken off the plant, put with the head, cooked, and the soup is given to eat. This is the use of Olerai.Â