top of page

Olchurai

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

body cleansing, body care

Maasai name

Olchurai

blood

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: ore taa ile naa endoki nai  orchurai, naokie irmaasai imotorik, imotorik  engine, ine engiteng’ nitobir naleng’, nenyor irmuhan, eniok taata iyie peyie iwok imotorik alapa nirok ninyokienu, nenyor irmuhan naleng’ naleng’ kake iloorpuli naai irmuhan loongiri enya neok ele hani aawokie imotorik naa archani sidai naleng’ nemeeta taa ene miim, iim ing’onyo, nelo aitobir arsarge aa inye taata paake idol aakedo, inadoron aakeitobir asarge.. Eee.. nitobir engare osesen, enoshi aare duo naudokini irtung’anak nitabiot metaa penye inye iyie niok engare ta asafarini naalakwa enilo.. Metaa ninja toi etiu orchurai.


Swahili translation: hii ni kitu Inaitwa olchurai,wamaasai wanakunywa nayo supu,supu ya mbuzi' ya mbuzi ndio inatengeneza vizuri',warani wanapenda ukikunywa Leo hiyo supu mwezi moja kama uko nyeusi utakuwa nyekundu,warani wanapenda kabisa' kabisa'lakini warani wanaenda kukula nyama msituni wakikula na kukunywa dawa na kukunyiwa supu nani dawa nzuri'na aina pahali haupiti inapita mshipa ya damu,inatengeneza damu ndio unaona ukiona ni nyekundu,hiyo nyekundu ndio inatengeneza damu…Ndio..inatengeneza maji mwilini,ile maji inadungiwa watu inatengeneza hadi utaki maji ukienda safari ndevu ukienda….sasa hivyo ndio olchurai inafanya..


English translation: This is a plant called Olchurai. We Maasai people drink this with soup, goat meat soup is the best. Warriors like it best if you drink that soup for one month and you were black in color you will change to red,warriors like it better but warriors go to eat meat at the bush and drink soup herbs and eat its a good herb and it help all parts of the body and even the veins of the blood,it it helps clean the blood if you see its red,that reds will clean blood…helps..it forms water in the body,that water that is injected it helps until you don't want to drink when you go on a long safari ….That's what olchurai does…


Olchurai
00:00 / 00:58
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page