top of page

Enjani emburkei

Plant details

Croton scheffler

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Enjani emburkei

stomach

Scientific (Latin) name

Croton scheffler

Part used

Common name

Maasai translation: ore taangarn ainei akaaji Letema Ruben, ore naa ele hani tatanji lekihomo ainepu naa enjani embukerel naa ake inye archani lengohoke metii olikai hani alang’ zaidi aa inye, mehomo aaku aitala ele hani piok irkulie kiek lijo enjani engusero, niok engai hani nijo endundulu pee keretoki tem’bata engohoke amu etii irkiek laakeinje muhumuni naleng’ naa ele mojawapo. Ajo iyelolo oopeny’ kitamanaitie duo nekilau nekiponu tatanji aatum etaa aikipwoito engalia aulo, ore naa cha muhimu sidai ele hani toongoshuaak moja kwa moja metii archani oinepu oo mehomo aaku ortung’ani aata naake shida engai ohoke amu mee ena, enekiarita engohoke, tenemu aikinyaita naisidai moja kwa moja.


Swahili translation: kwa majina yangu naitwa Letema Ruben,hii dawa tumeenda kupata ni miti inamea mahali pakavu ni dawa ya tumbo hakuna dawa nyingine kuliko hii,hakuna dawa nyingine inaweza isipokuwa enjani engusero,unakunywa na inasaidia kwa tumbo kwa sababu kuna dawa inauma tumbo na obo ele'tumezunkunka tumekosa tukakuja kupata karibu nyumbani, hii ina umuhimu maana ni nzuri kwa tumbo moja kwa moja na hakuna dawa inakuta mpaka mtu mwenye ako na shida ya tumbo nyingine na sio hii,kama tumbo inakuuma,ama inakukula inasaidia moja kwa moja.


English translation: My name is Letema Rube. This medicine we find is from trees that grow in dry places. It is a medicine for the stomach… you drink it and it helps the stomach gain strength. This is a very good plant for the stomach because it helps the stomach instantly, with little preparation. As soon as someone has a stomach problem, they can go out and find the plant and eat it directly from the ground, and it will help you.

Enjani emburkei
00:00 / 00:45
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page