Maasai translation: hichi hapa engoireroi, language maasai engoireroi, ore engoireroi naa teninepu ortung’ani atamoyia ataama engajang’ani naleng’ neoshuni kun’da aabobok, aaoshu engababoki aikunu taata inji … njaki alalem ortung’ani obo…. Ore ake pee ewoshuni neholieki eilata enger, aaholie eilata enger ele hani, aaholie eilata enger.. Neeku ore ake peeholieki eilata enger …. Aahohu taata ele aaaboboki .. ele tulelei.. Voice cuting alaboboki…ena.. Neholieki eilata, aitadoki aatwa eilata enger, neholare ortung’ani ataa sugu tengoriong’, telukunya, lemekure ishu etaama enganyang’ani metaa etipika malaria kali, ninduhulaki enatoki eilata neok ortung’ani neer nishiu.
Swahili translation: hii hapa ni engoireroi,kwa lugha ya kimaasai inaitwa engoireroi,hii miti ukipata mtu ameumwa na umbu,maganda inatolewa,maganda inatolewa hivi….kwa kisu ya mtu mmoja….ikitolewa inachanganywa na mafuta ya kondoo….inakunyiwa na maganda hii..kwa tulelei…sauti inakatwa kwa maganda..kwa..inakunyiwa na mafuta,inawekwa ndani ya mafuta ya kondoo,inapatiwa mtu ako na kisungusungu,kichwa,mtu ameumwa na mbu na kupata malaria sana,unachangaya na mafuta unakunywa na inaponesha.
English translation: This is Engoiroi, as it is called in the Maasai language. If you find someone poisoned by a fungus, the pods of this plant can be removed with a knife and used. After removal, the pods are mixed with sheep fat and eaten, and this heals the afflicted person. The pods can also be removed and mixed with oil like sheep’s fat. This mixture can be given to a person who has measles, a headache, or someone who has been bitten by a mosquito and has severe malaria. You mix the pods with the oil and it helps them heal.Â