top of page

Engamoloki

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

animal health

Maasai name

Engamoloki

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: ore naa taata ena naa engamaloki oosurukon, naa ore peetejoki engamaloki oosurukon aitengaraki naa isurkon ake oidim ake ainasa kuna benek enyena, amu miidim kuliek ng’wesi tengaraki eeta ele hani ingalaok nemeropil sii archani te kulie ng’wesi, neeku osikiria ake openy’ oidim ainasa , naa ore sii tiakata  kulo kiek nainepu tiaikata kulo kiek aa adoru neeku miidim indare aatabaiaki kake ore osikiria niidim ninye aatabaiki amu eodo penyo toorkuliek, kake ore sii  te engai nemekumok duo ninje ingamolok  oloosurukon, amuu etii engamoloki naji oloosurukon netii ake alamoloki le kawaida enaa erde likai ee jamii nabo kulo kiek, kake medusa naai matumizi oortung’anak amu etiwana enaa archgani aatayiie irtung’anak imani potofu aa njere mesinyari isurukon ake oidim ainasa, kake itumika tiai kata sii kulo kiek enaa oloip, ore ele hani, ore talari nenya orkuro im’benek enyana pii metaa akinepu ninye ijo akeyie etoyio kake itu etoi, kake ore telari(talamei) nenyoriju enohi kata taaata  ore irkulie kiek nidipa ninye enaa isilale idipa aitoyio im’benek enye, amu metoi sii ele hani amu meure alamei.


Swahili translation: hii Leo nayo ni Engamoloki ya punda,sababu inaitwa Engamoloki oosurukon maana ni punda tu inaweza kukula majani yake,maana wanyama wengine hawawezani kukula sababu sio tamu na ina siafu kwa wanyama wengine,punda pekee anaweza kula',unakuta wakati nyingine hii miti ni refu na kondoo haifikii kula ,lakini punda inawezana kufikia maana yeye ni refu kuliko wakati nyingine,lakini wakati nyingine hii miti sio mingi,maana kuna engamaloki oosurukon na nyingine ni ya kawaida maana ni ya jamii moja,lakini matumizi yake sio mingi kwa watu,sababu watu hawana imani potovu na punda sasa ni punda tu wanaweza kula,

Lakini utumika nyakati nyingine kama kivuli,mti huu,kwa msimu wa mvua wadudu wanakula majani mpaka unadahani mti umekauka lakini haijakauka,wakati wa msimu ya mvua(kiangazi)inakuwa kijana kibichi wakati nyingine miti kama esilalei majani yake imekauka,mti huu haikauki sababu haiogopi kiangazi.


English translation: This is called Englmoloki for donkeys, because only donkeys can eat its leaves. Other animals cannot eat them because they are too bitter, and it harms them, so only donkeys eat them. You may find that sometimes these trees are tall and the sheep cannot reach the tree to eat the fruits, but the donkey can reach because he is taller than the others. These trees are rare, but have little use for people, because we are not wrong that only donkeys can eat these leaves. Sometimes it is used as shade during summer. During winter insects eat its leaves and so it looks dead, but in the rainy season it becomes a green young man. Other trees like Esilalei lose all their leaves, but this tree does not.  

Engamoloki
00:00 / 01:39
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page