Recording 1:
Maasai translation: aaji letema, amanya esilalei, neeku lelo engamai ena nekiutakita elaisungui, metaa ore engamai neeta irmatunda, ore irmatunda lenyena naake inasi, ore inasi nekiok ake indana sii aituhulaki esupu neretoki indasati naayeu ning’aru ingera… metaa sidan indana enye aikunaki nija.
Swahili translation: Naitwa letema,naishi esilalei,hii ndio engamai kama vile wazungu wanakujulisha,hii miti ina matunda,matunda zake inakuliwa,ikikuliwa mzizi zake inakunyiwa tukichanganya na supu na inasaidia wamama wanatafuta watoto…sasa mzizi yake ni nzuri hivyo.
English translation:Â My name is Letema. I live in Esilalei. We have told this white person this tree is Engamai. These trees have fruits which can be eaten and are tasty. The roots can also be crushed and mixed with soup to help mothers become more fertile if they want to have children. This is why its root is very good.Â
Recording 2: Maasai translation: aaji letema Ruben, naa amanya engijiji osilale, ore ena hani nekiutakita ele lee naa engamai, ore engamai neeta irmatunda naikinya iyiook nenya ingera, ore engai neeta indana naaaok indasati nekiok ileo aituhulaki esupu kake ore mara nyingi naa indasati pee eretoki toongoshuaak pee iibung’ tuaishu, metaa ore ena hani neeta umuhimu naleng’ naa sidai amu keretoki tengata dorop. ..Ee..Â
Swahili translation: Naitwa letema Ruben,naishi kijiji ya esilale,hii miti hii dawa unaambia na huyu mzee ni engamai,hii dawa ina matunda sisi tunakula na watoto,nyingine ina mizizi ambayo mama wazee tunakunywa pia kwa kuchanganya na supu lakini mara nyingi inasaidia wamama kwa tumbo kushika mimba,sasa hii dawa ina umuhimu mingi sana maana inasaidia kwa wakati fupi….ndio..
English translation: My name is Letema Ruben, and I live in the village of Esilalei. These trees are a medicine called Engamai. This medicine has fruits that we ate as children, as well as roots that old mothers drink by mixing with soup. It can help these mothers conceive even at an old age. This drug is very effective because the effects can be felt very quickly… yes.