top of page

Endisa

Plant details

Plant use

Disease/ Afflicted area

body cleansing, medical treatment

Maasai name

Endisa

urinary

Scientific (Latin) name

Part used

Common name

Maasai translation: taadua ele naa archani oji ortisa, enjani nahi endisa ena, naa archani lenaporsesen oongiri kwahiyo ore eninya ingiri naleng’ pee kipik naporsesen au pee kindong’wa herat niok ele hani aagurumare … metaa akegurumareki toi media taa naleng’ edua naleng’ metaa iniing’or taata iyie ena tanai ake iyeru akeduo aapik ingutik kama ong’uan imiet nigurumare nekindobir osesen moja kwa moja … ortisa ….


Swahili translation: ona hii dawa inaitwa Ortrisa,dawa hii inaitwa endisa,nani dawa ya nyongo ya nyama kwa hivyo ukikula nyama mingi inakuweka nyongo au inaharibu mwili unakunywa hii dawa 

….sasa inakufanya utapike maana ni kali sana ukipika hii mzizi unaweka kidogo kama nne tano inakutaapisha mwili iwe sawa moja kwa moja…Ortisa….


English translation: This drug is called Endisa or Ortisa. Meat can sometimes damage the body or the bladder, so if you drink this medicine it will help clean the bile and help the bladder. But with too much, it can also make you vomit because it is very strong. If you put a few roots, maybe four or five, in the soup, it will heal your body. This is Endisa. 


Endisa
00:00 / 01:17
00:00 / 01:04
00:00 / 01:04
bottom of page