top of page

Emukutiai

Plant details

Helichrysum odoratissimum

Plant use

Disease/ Afflicted area

medical treatment

Maasai name

Emukutiai

fever, sore throat, respiratory, stomach

Scientific (Latin) name

Helichrysum odoratissimum

Part used

Common name

Imphepho

Recording 1: Maasai translation: ore emukutiai era are, etii emukutiai ena naoki naake ake ituru aatur engop ora ake pee ituru nindau amu enatoki natii engop inya mee ina natii shumata, ena tanai naing’or engop, niwojiwoj nikinyu engopito, teninyaal basi nedaa tena pookin, naa ena ake nin’dosuo tengop inye ake idung’u nindadoiki ewoji niyeru naa taata engare niok nioru engiroget.. Ina emuktiai 

Ore en’da ngai torono en’da, hatari en’da meoki en’da nijo inye enyori meoki ina tukul, ing’wesi ake naanya ina amu menya irtung’anak, en’da ake ayiolo imu inye ake kiok.


Swahili translation: hii ni aina mbili,kuna ya kukunywa kwa kuchimbua mizizi ukichimbua sababu ni ile mizizi ndio inakuliwa ya ndani sio ya nje,ile mizizi inaangalia chini,unatoa maganda,ukitafuna unakula yote,ni hii unachomoa unakata na kuweka sufuria na kupika na unakunywa maji na kumaliza homa…Hiyo ndio dawa.

Ile nyingine ni mbaya ni hatari hiyo nyingine aikunyiwi,ni wanyama tu ndio wanakula watu hawakuli ni hiyo tu ndio nimesikia kwa masikio.


English translation: This is one of two types of Emukutiai. This one you should drink after digging the roots. If you dig, the inside of the root should be eaten and not the outside. Take off the skin, you can then chew the root. You can also cut it and put it in a pot to cook, after which you can drink the medicine and flush out the fever. This is the medicine.


Recording 2: Maasai translation: aaji aigil ake lomayan leaseki, kipukunye future warriors Tanzania, nekirikito ake eloomoni aaliki im’baa oorkiek lengop, naa iyiolo enjani nekineputwa tene naa emukutiai, iyiolo emukutiai naa archani sidai naleng’ taarmaasai tiatua imotorik, tenepiki imotoriok taata oondomonok ahu irtung’anak kitwaak toorpuli naa endoki sidai naa amu keretoki naa irtng’anak aaya irgoso, irtung’anak aata endoki naning’ito tiatua irgoso neyeu ning’aru namna naitaunye ina moyian tiatua irgoso naakeok naake emukutian aayer iyiolo pee ewoku tukul neok enaa engare… ashe oleng’..


Swahili translation: Ninaitwa tena Lomayan leaseki,kipukunye future warriors Tanzania,tunapeleka huyu mgeni kumweleza juu ya miti dawa,na dawa tumepata ni emukutiai nani dawa nzuri sana kwa wamaasai ukiweka supu,ukiweka supu ya wamama wamezaa ama watu wazee kwa msitu ni kitu nzuri sababu inasaidia watu wanaumwa na koo,watu wanasikia pahali wanaumwa na koo na unataka kuponesha hiyo ugonjwa kwa koo wanakunywa hii dawa kupika hadi iife unakunywa kama maji….Asante sana'....


English translation: This is Lomayan Leaseki again from Future Warriors Tanzania. We are with a guest, telling him about medicinal trees. The medicine we have found is Emukutiai, a very good medicine for the Maasai if you put it in the soup. If you put in the soup of mothers who have recently given birth, or elderly people who are sick, it is very good because it helps cure throat sickness. If people feel they have a sore throat and they want to cure the disease, they cook this medicine in water and drink. Thank you very much.

Emukutiai
00:00 / 00:57
Emukutiai 2
00:00 / 00:38
00:00 / 01:04
bottom of page