top of page

Armargirigiriani

Plant details

Lantana viburnoides

Plant use

Disease/ Afflicted area

construction, odor

Maasai name

Armargirigiriani

Scientific (Latin) name

Lantana viburnoides

Part used

Common name

Lantana

Recording 1: Maasai translation: ore ele likai naa armargirigiriani, ore armagirigiriani niyelolo aajo ore apa laapapa naa inje apa epejokinyeki ingiri amu ore ingiri naapeji tele magirigiriani naa akeropil oleng’ kwahiyo ore apa teneesi enaa iloho loondomon, irmong’i laarbaa, irpukuneta, ingiri akeyie esajare aina yeyote naa kuna kiek apa itelekini, kwanza inye enaraa naa ore ake sii eniare naa inye epejorieki, naa ele magirigiriani taapake sii itaa irmaasai isisineta erwat pee epuo airishunye enaa irkiek ooropil .. kwahiyo teniyata tiatua aaji ele hani neeou eseriani.. Nening’ irtung’ana enaa ketii eseriani amu irkiek oopuyiapui kulo lemeeta enyamali.


Swahili translation: Hii nyingine ni armargirigiriani,armagirigiriani mnajua baba zetu walikuwa wanachomewa nyama sababu nyama inachomwa na magirigiriani ni tamu sana kwa hivyo ikifanywa hivi na loondomon,ndume ya kitamaduni,matokeo,nyama aina yeyote inawekelewa aina ya hii miti,inawekelewa ndio ikuwe pahali ya kupakuliwa ,na ni aina ya hii miti ndio wamaasai wanatumia kama kitanda….Kwa hivyo ukiwa nayo kwa nyumba hii dawa unapata amani maana hizi dawa ni nyepesi na aina shida.


English translation: This plant is called armargirigiriani. Our fathers used to roast armargirigiriani with their meat because armargirigiriani with meat is very tasty. If you need to set the meat down on the ground you put it on armargirigiriani and it will later taste better. It is also a tree that the Maasai use for a bed. This remedy is useful to solve many problems in the house. 


Recording 2: Maasai translation: ore ele naa aramagirigiriani, archani aitaunye irmaasai engong’u, naa enejing’ irpepedo osesen nituhuli wembere epapa oo we ngii nitoiji artamoyiai.. Ahu imwoi enohi moyian oorpepedo au enejing’ eririhi neok, nitumia, neropil metaa tening’uaaya taata nindau im’benek pee ipupu inji neropil aabaraki. Ninasai … archani oji armagirigiriani sidai oropil.


Swahili translation: Hii inaitwa Armargirigiriani2,dawa ambaye wamaasai hutoa uchafu kwa macho,na upele ikingia mwili inachanganywa na maji na kuosha nayo mgonjwa.Maana ukiwa na ile ugonjwa ya upele ama pahali siafu inaingia,nitumia,inakuwa nzuri ukinuza unatoa matawi na kubonda inuza nzuri.

Unakula…dawa inaitwa Armargirigiriani inanuza nzuri.


English translation: This is called Armargirigiriani, a drug that the Maasai use to get impurities out of the eye. Also, if a rash enters the skin, (the drug) is mixed with water and the patient is washed with it. If you have the disease of scabies, use it where the parasite has entered… you eat… The medicine is Armargirigiriani, it smells good.

Armargirigiriani
00:00 / 00:46
Armargirigiriani 2
00:00 / 01:06
00:00 / 01:04
bottom of page